chumba Kimoja na pangisha

Na pangisha chumba kimoja hapa kimara mwisho, nyumba ipo katikati ya kimara mwisho & kimara kingongo. napokea kodi kwanzia miezi 6 na kuendelea kwa mawasiliano zaidi nipigie 0692423852