tangazo ndugu mdau nyumba ina uzwa ipo hapa mbagala chamazi ina uzwa kwa bei poa kabisa milioni ( 40 ) ina vyumba vitatu sebule na sehem ya chakula maji umeme parkingi ya gar ipo hapa jijini dar es salaam wilaya temeke jimbo la mbagala manispa ya temeke kata chamazi mta dovya kwa maelezo zaidi nipigie sim ,au njoo, dm, kumbuka maisha ninyumba mdau
Tag @chimbo_Tanzania kwenye instagram na @chimbo kwenye facebook upate featured na bump up ads bure.