Bidding Stats
- Use a safe location to meet seller
- Avoid cash transactions
- Beware of unrealistic offers
- Verify the item before purchase
Safety tips for deal
Wadau mjengo huwo hapo mjengo wa kisasa ina uzwa bei poa milioni ( 50,000,000 ) mjengo una room tatu ipo master kuna sebule kuna sehem ya kulia chakula maji yapo umeme upo jiko safi ipo ndani ya fensi kuna paringi ya gar ya kutosha kwa maelezo nipigie sim jengo lipo chamazi magengeni kwa mapemba mji mpya kabisa
Tag @chimbo_Tanzania kwenye instagram na @chimbo kwenye facebook upate featured na bump up ads bure.
Bids - Mnada