tangazo nyumba ya vyumba vinne ina uzwa milioni ( 80 , ipo mbagala chamazi nyumba safi kabisa

TZS8,000,000

Description

Type : Sell/Uza
Date : February 14, 2020
Condition : New
Warranty : No
Location : Mbagala Chamazi

Tangazo nyumba ya kisasa kabisa ina uzwa beivpoa kabisa ina uzwa milioni ( 80 ) ina vyumba vinne4 sebule na sehem ya chakula maji umeme jiko safi ina parkingi ya gar ipo hapa jijini dar es salaam wilaya temeke kata chamazi jimbo la mbagala manispa ya temeke kata chamazi mta dovya kwa mapemba kwa maelezo zaidi nipigie ,cm au, njoo, dm

Ukinipia simu, niambie umeona tangazo langu kwenye website ya chimbo.

 

Angalizo
  1. Kutana na mteja au muuzaji sehemu salama.
  2. Usitume hela bila kuhakiki bidhaa.
  3. Kuwa makini na utapeli.

Featured Ads

Ads

Contact With Ad Owner

Advertisement

Android App
Android App
Top