tangazo nyumba ya kisasa kabisa ina uzwa milioni ( 80,000,000 ) nyumba ina vyumba vinne4, na kuna felemu nne4 za biashara ina kisima cha maji kikubwa sana ipo jijini tanzania?? dar es salaam wilaya temeke manispa ya temeke jimbo la mbagala kata chamazi mbande shuleni sokoni kwa maelezo zaidi ni pigie sim au njoo dm
Tag @chimbo_Tanzania kwenye instagram na @chimbo kwenye facebook upate featured na bump up ads bure.