Bidding Stats
- Kutana na mteja au muuzaji sehemu salama.
- Usitume hela bila kuhakiki bidhaa.
- Kuwa makini na utapeli.
Angalizo
Featured Ads
Ads
Contact With Ad Owner
Ni tripod nzuri sana matumizi yake 1.inatumika kujirekodi video au picha za mnato bila ya usaidizi wa mtu,hivyo huitaji mtu kukurekod ama kukupiga picha. 2.kwa wale wanao ongea video call au zoom ,hii ni nzuri sana kwani hauhitaji kushikilia simu kwa muda mrefu. 3.ni nzuri kwa outdoor yaani ukitoka ukaenda mtoko itakusaidia kujipiga picha na kuchukua video ukiwa mwenyewe. 4.pia waweza kuitumia kutazamia muvie bila ya kuchosha mikono yako au shingo ina rotate pande tofautitofauti hivyo kukupa uhuru wa jinsi utakavyo kuitumia.
Ukinipia simu, niambie umeona tangazo langu kwenye website ya chimbo.
Bids