Samsung galaxy note 5 32gb white simu imetumika marekani(usa), simu bado nzuri sana, haina tatizo lolote inafanya kazi vizuri bila tatizo lolote, simu bado mpya kabisa sana, inapiga picha vizuri, simu inakaa na chaji mda mrefu kulingana na matumizi yako, simu haina tatizo kabisa.
Tag @chimbo_Tanzania kwenye instagram na @chimbo kwenye facebook upate featured na bump up ads bure.