SAMSUNG GALAXY A50 64GB 4GB RAM Simu imetumika Marekani(USA), 4G network, Camera 3, Screen 6.4″, simu iko na screen protector Finger print iko kwenye display, Battery 4000mAh(Inakaa na chaji sana), Fast charging, USB Type-C, Super Amoled, Upgradable to android 11, Storage 64GB 4GB RAM, Corning Gorilla Glass 3, Simu haina tatizo lolote, simu iko kwenye muonekano mzuri sana. Simu inafanya kazi vizuri bila tatizo lolote. Location: Ilemela, Mwanza, Tanzania.
Tag @chimbo_Tanzania kwenye instagram na @chimbo kwenye facebook upate featured na bump up ads bure.