Samsung Galaxy A32 5G 64G 4GB RAM

TZS420,000

 (Negotiable)

Description

Type : Sell/Uza
Date : June 22, 2022
Condition : Used
Warranty : No
Location : Ilemela,Mwanza,Tanzania

SAMSUNG GALAXY A32 5G 64GB 4GB RAM Simu imetumika Marekani(USA),
5G Network, Camera 4(48MP 2160p)inatopicha nzuri mno,
Screen 6.5″,
 Finger print iko kwa pembeni,
Battery 5000mAh(Inakaa na chaji sana),
Fast charging,
 USB Type-C,
Super Amoled,
 Upgradable to android 12,
Storage 64GB 4GB RAM,
Corning Gorilla Glass 5,
simu haina tatizo lolote,
 simu inafanya kazi vizuri sana,
simu iko kwenye muonekano mzuri sana. Location:Ilemela, Mwanza, Tanzania.

Ukinipia simu, niambie umeona tangazo langu kwenye website ya chimbo.

 

Angalizo
  1. Kutana na mteja au muuzaji sehemu salama.
  2. Usitume hela bila kuhakiki bidhaa.
  3. Kuwa makini na utapeli.

Featured Ads

Ads

Contact With Ad Owner

Advertisement

Android App
Android App
Top