PLOT FOR SELL AT NZUGUNI SQM 700

TZS9,000,000

 (Fixed)

Description

Type : Sell/Uza
Date : December 1, 2020
Condition : New
Warranty : Yes
Location : P.BOX.912

Nauza kiwanja cha makaz nzuguni kwa MASISTER vipo viwili vyote sqm 700 
Huduma ya maji na umeme zipo
Viwanja vipo uwanda wa juu maji hayajai kwenye kiwanja 
Kwenda site ni siku yeyote ya wiki
Malipo ni cash not installment
Kama unausafiri wako binafsi kwenda site buree kabisa na kama usafiri binafsi huna basi naomba tuchangie pesa ya mafuta 10000 tu kutoka mjini hadi site
Kiwanja kimepimwa hakina madeni kazi kwako

Ukinipia simu, niambie umeona tangazo langu kwenye website ya chimbo.

 

Angalizo
  1. Kutana na mteja au muuzaji sehemu salama.
  2. Usitume hela bila kuhakiki bidhaa.
  3. Kuwa makini na utapeli.

Featured Ads

Ads

Contact With Ad Owner

Advertisement

Android App
Android App
Top