Viwanja vipo vingi sana vinauzwa mwisho wa lami karibu na chuo cha mipango umbali wa dk 15 kwa miguu hadi chuo
Viwanja vipo kwanzi sqm 900 hadi 2666
Umbali kutoka arusha road ni mita 500
Matumiz ya viwanja ni makaz na biashara kama vile;
*Hostel za wanachuo wa mipango na madini
*Nyumba za kupanga / apartment
* Lodge / Hotel za kisasa
Note; SQM bei ni 20000
Malipo ni cash not installment
Kwenda site ni buree kabsaa bila malipo
Tag @chimbo_Tanzania kwenye instagram na @chimbo kwenye facebook upate featured na bump up ads bure.