PLOT FOR SELL AT MIGANGA SQM 450

TZS5,000,000

 (Fixed)

Description

Type : Sell/Uza
Date : December 1, 2020
Condition : New
Warranty : Yes
Location : P.BOX .912 DODOMA

Nauza kiwanja kizuri sana maeneo ya miganga karibu na chidachi umbali jilometa 6 hadi dodoma mjini city center
Huduma ya maji na umeme zipo karibu sana 
Kiwanja hakina madeni ukinunua unafanya transfer tu
Pia maeneo yamejengeka sana karibu uone madhari nzuri ya miganga
Eneo linapakana na strategic areas kama vile itega,chidachi na michese 
Kwenda site ni siku yeyote ya wiki na ni buree kabsaa kama unausafiri wako binafsi na kama huna basi naomba tuchangie 500 tu ya usafiri kutoka town hadi site

Ukinipia simu, niambie umeona tangazo langu kwenye website ya chimbo.

 

Angalizo
  1. Kutana na mteja au muuzaji sehemu salama.
  2. Usitume hela bila kuhakiki bidhaa.
  3. Kuwa makini na utapeli.

Featured Ads

Ads

Contact With Ad Owner

Advertisement

Android App
Android App
Top