Nauza kiwanja miganga sqm 623 kipo kilometa 6 kutoka mjini dodoma city
Kiwanja hakina madeni ukinunua unafanya transfer tu
Huduma ya maji na umeme zipo
Kiwanja kipo pia karibu na huduma za kijamii kama vile shule ya st mary’s iliyopo chidachi
Barabara za mitaa zote zimechongwa na kiwanja kipo uwanda wa juu yenye madhari nzuri sana
Maeneo hayo kuna waheshimiwa wamejenga kama waziri kagi luoga hivyo basi maeneo ni mazur sana
Kwenda site ni buree kabisa ukiwa na usafiri wako kama huna usafiri utachangia mafuta ya 5000 tu kutoka mjini hadi site
Tag @chimbo_Tanzania kwenye instagram na @chimbo kwenye facebook upate featured na bump up ads bure.