TSH23,000,000
 (Negotiable)
Wahi nyumba hii bei sawa na bure inauzwa ipo kitunda kibeberu milion 23 ina vyumba v4 na sebule na masta jiko na maj Pablic toilet na stoo ?unatembea dakika 2 unafika stend ?gar had mlangon ina umeme na vyumba vyote ni jipsam njoo ukague ulipie