TZS28,000,000
 (Negotiable)
Nunu kwa  tsh mil 28 tu Ipo mbagala charambe kwa mbiku Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom Ina sitting room na daining room Ina jiko na store ina maji na umeme upo kalibu Nyumba Ina eneo la kujenga fence gari ndogo 3 Zina ingia ndani Nyumba ipo meter 150 tu kutoka main lody