NUNUA KIWANJA KWA BEI POA SANA

Description

Type : Sell/Uza
Date : May 31, 2021
Condition : New
Location : Kisemvule
  • OBEY VILLAGE PHASE 2
Habari naitwa Alex Norbert Mwankemwa ni Agent katika maradi huu wa OBEY VILLAGE… Wateja wetu napenda kuwakaribisha OBEY  VILLAGE AWAMU YA 2 Ni viwanja vipya na vya kisasa vimepangiliwa mipango miji wai sasa ujipatie. 
1) Bei nafuu
2) Miundombinu safi
3) Maji safi yapo
4) Mipango Mji
5) Umeme upo
6) Mji unajengeka kwa kasi sana 
Ndani ya mradi tumefungua tayari na HARDWARE ambapo inakurahisishia kupata vifaa vyote vya ujenzi na kupunguza gharama za usafiri.
OBEY VILANGE PHASE 2 Ni mwendelezo wa ule mradi wetu wa awali wa OBEY NEW VILLAGE ni maradi wa makazi bora .
  • BEI NA UKUBWA KWA VIWANJA VYETU
 1,300,000 / = futi 50×40 2,600,000 / = futi 50×80 au Sqm 400. 
5,200,000 / = futi 80×100 au Sqm 800.
USAFIRI NI UHAKIKA
 Kuna daladala za kutoka Gerezani hadi Kisemvule, Tandika hadi  Kisemvule, Temeke hadi Kisemvule, kivukoni hadi kisemvule.
 MAWASILIANO
Piga simu namba 0777883980 AU 0743002480 namba zote zipo WhatsApp pia
Utapelekwa mpaka kwenye mradi wetu bure.  Njoo ulipie kiwanja chako KWA AWAMU TUNAPOKEA .Unaweza kuchukua na  kulipa bila riba wala dhamana.
KUMBUKA KUJA KUONA SIKU YA JUMAPILI USAFIRI NI BUREEE KUTOKA STENDI MPAKA KWENYE MRADI…

Ukinipia simu, niambie umeona tangazo langu kwenye website ya chimbo.

 

Angalizo
  1. Kutana na mteja au muuzaji sehemu salama.
  2. Usitume hela bila kuhakiki bidhaa.
  3. Kuwa makini na utapeli.

Featured Ads

Ads

Contact With Ad Owner

Advertisement

Android App
Android App
Top