Nguo Za Watoto Wa Kike/Kiume

TZS3,000

 (Fixed)

Description

Type : Sell/Uza
Date : June 5, 2021
Condition : Used
Warranty : Yes
Location : Mnazi mmoja, mtaa wa lumumba na mkunguni

– Nguo za watoto wa kike/kiume bei nafuu kabisa,

-Nguo ni mtumba, grade one toka canada,

– Nguo za aina zote za watoto kuanzia top, tight, tshirts, gauni, sketi, pens etc,

– Bei ni nafuu kabisa ,

– Tuko mnazi Mmoja(Lumumba/mkunguni) kila jumatatu mpaka jumamosi kuanzia saa mbili asubuhi,

– Fika umchagulie mwanao kilichobora kabisa na kwa bei nafuu zaidi

– Tunafungua mzigo mpya kila wiki, unaweza wasiliana nasi ili kila tukifungua mzigo mpya tukujulishe

Ukinipia simu, niambie umeona tangazo langu kwenye website ya chimbo.

 

Angalizo
  1. Kutana na mteja au muuzaji sehemu salama.
  2. Usitume hela bila kuhakiki bidhaa.
  3. Kuwa makini na utapeli.

Featured Ads

Ads

Contact With Ad Owner

Advertisement

Android App
Android App
Top