Network unlock Services/Network unlock kwa simu aina zote

TZS70,000

 (Fixed)

Description

Type : Sell/Uza
Date : May 11, 2022
Condition : New
Warranty : Yes
Location : Ilemela, Mwanza, Tanzania.
Network unlock Services/Network unlock kwa simu aina zote,
tuna unlock Network ya simu za aina zote,amabazo ziko 
1.clean
2.Blacklisted-Hazitafanya kazi katika nchi iliyolokiwa internet nje ya nchi hiyo tu.
3.Unpaid-Hazitafanya kazi katika nchi iliyolokiwa internet nje ya nchi hiyo tu
4.Financed-Hazitafanya kazi katika nchi iliyolokiwa internet nje ya nchi hiyo tu
5.Undercontract-Hazitafanya kazi katika nchi iliyolokiwa internet nje ya nchi hiyo tu
Tunatoa huduma hii hata ukiwa mbali ila kwa kutumia vitu vifuatavyo
1.Computer
2.uwe na internet yenye kasi
3.teamviewer
4.ushirikiano wako
Baada ya ku unlock simu itaweza kutumia gsm networks aina zote
tunatoa huduma hii kwa
1.samsung smarphones model zote
2.Apple iPhone model zote
3.LG model zote
4.Motorola Model zote
unaweza kuwasiliana nasi kwa namba zetu ,whatsapp,tegram au email yetu.
Pia tunatoa huduma ya kuangalia taarifa za IMEI namba za simu kwa gharama nafuu
Location:Ilemela,Mwanza,Tanzania.

Ukinipia simu, niambie umeona tangazo langu kwenye website ya chimbo.

 

Angalizo
  1. Kutana na mteja au muuzaji sehemu salama.
  2. Usitume hela bila kuhakiki bidhaa.
  3. Kuwa makini na utapeli.

Featured Ads

Ads

Contact With Ad Owner

Advertisement

Android App
Android App
Top