Nauza kiwanja cha sqm 1316 block DH mtumba kiwanja cha 3 kutoka lami ya dom tu dar kiwanja kipo sehm nzur na kipo katikati ya bara bara kuu mbili za mtaa zenye mita 15 kulia na kushoto
Matumiz makaz na biashra
Kiwanja kina daiwa milion 1.2
Malipo ni cash not installment
Kwenda site ni siku yeyote ya wiki
Kwenda site ni buree kabsa ukiwa na usafiri wako na kama huna usafiri utachangia kiasi cha sh 10000 kama hela ya mafuta kutoka mjini hadi site
Tag @chimbo_Tanzania kwenye instagram na @chimbo kwenye facebook upate featured na bump up ads bure.