TZS34

 (Negotiable)

Description

Type : Sell/Uza
Date : February 16, 2020
Location : chamazi
  mil 34 tu 
Nibonge la jumba ina vyumba vitano vya kulala kimoja master bedroom Ina sitting room na daining room Ina jiko na store ina maji na umeme nyumba kalli sana Ina fence Ina ingiza gari ndogo 3 Zina ingia ndani mwenyewe ame kwama sana njoo uiyone mdau wangu mlete mteja tumalize biashara nyumba ipo mbagala chamanzi jilani na hospital mpya ya zango meter chache tu kutoka man lody ya chamanzi

Ukinipia simu, niambie umeona tangazo langu kwenye website ya chimbo.

 

Angalizo
  1. Kutana na mteja au muuzaji sehemu salama.
  2. Usitume hela bila kuhakiki bidhaa.
  3. Kuwa makini na utapeli.

Featured Ads

Ads

Contact With Ad Owner

Advertisement

Android App
Android App
Top