Kitchen cabinet ya milango miwili 🔥🔥🔥🔥🔥

TZS100,000

Description

Type : Sell/Uza
Date : December 12, 2022
Condition : New
Warranty : No

Jipatie kitchen cabinet ya milango miwili yenye sehemu ya kuwekea mtungi wa mdogo Gas.

Cabinet hii ina sehemu ya kuwekea vifaa na nafaka mbalimbali kwa ajili ya kupikia. 

Katika msimu huu wa sikukuu sisi @Double_s_furniture tunatoa offer ya free delivery kwa wateja wetu wote watakao nunua bidhaa kwetu utaletewa bidhaa yako mpaka mlangoni kwako.

Offer hii ni kwa Wateja wa Dar es Salaam tu. 

Kwa mawasiliano zaidi Tupigie kwa simu namba 0710703070 au chat nasi WhatsApp kwa namba hiyo hiyo.

Pia tufate kwenye mitandao yetu ya kijamii kama Instagram na Facebook @Double_s_furniture 

Ukinipia simu, niambie umeona tangazo langu kwenye website ya chimbo.

 

Bids

*Your phone number will be shown to post author
Write a Review

Bidding Stats

There is no bid yet.

Angalizo
  1. Kutana na mteja au muuzaji sehemu salama.
  2. Usitume hela bila kuhakiki bidhaa.
  3. Kuwa makini na utapeli.

Featured Ads

Ads

Contact With Ad Owner

Advertisement

Android App
Android App
Top