Kitchen cabinet ya milango mitatu. 🔥🔥🔥🔥🔥

TZS180,000

Description

Type : Sell/Uza
Date : December 12, 2022
Condition : New
Warranty : No
Location : Mabibo,farasi

Jipatie kitchen cabinet ya milango mitatu kwa punguzo kubwa la bei badala ya Tsh.220000 ya awali utakipatia kwa Tsh.180000.

Cabinet inasehemu ya kuwekea mtungi wa Gas, kabati na droos za kuwekea vifaa na nafaka mbalimbali za kupikia. 

Msimu huu wa sikukuu sisi kama @Double_s_furniture ukinunua bidhaa kwetu tutakufikishia mpaka mlangoni kwako bure kabisa (offer hii ni kwa wateja wa Dar es Salaam pekee).

Kwa mawasiliano zaidi Tupigie kwa namba 0710703070 au chat na sisi WhatsApp kwa namba hiyo hiyo.

Pia unaweza ukatufata katika mitandao yetu ya kijamii kama Instagram na Facebook @Double_s_furniture. 

Ukinipia simu, niambie umeona tangazo langu kwenye website ya chimbo.

 

Bids

*Your phone number will be shown to post author
Write a Review

Bidding Stats

There is no bid yet.

Angalizo
  1. Kutana na mteja au muuzaji sehemu salama.
  2. Usitume hela bila kuhakiki bidhaa.
  3. Kuwa makini na utapeli.

Featured Ads

Ads

Contact With Ad Owner

Advertisement

Android App
Android App
Top