Kiwanja maalum kwa ajili ya kujenga hotel ya kisasa mji wa serikali MTUMBA DODOMA kinauzwa
Kiwanja kina ukubwa wa kutosha sana kipo block DH sqm 6000
Kiwanja kipo mita 300 tu kutoka lami ya dom to dar ukiwa kwenye kiwanja unaona magari yakipita barabarani
Kiwanja kipo karb na maeneo ya muhimu yaliojengeka kama vile sheli mbili za banji Petro station
Pia kiwanja kimezungukwa na barabara kuuu nne za mitaa zenye mita 15
Usipange kukosa kama pesa ipo wekeza mtumba kwa manufaa yako na kizazi chako
Tag @chimbo_Tanzania kwenye instagram na @chimbo kwenye facebook upate featured na bump up ads bure.