Hii nyumba ipo mbagala chamanzi complex Ina vyumba vinne vya kulala vyumba viwili master bedroom Ina sitting room na daining room Ina jiko na store ina maji na umeme na maji Ina fence Ina ingiza gari 3 nyumba kalli sana Ina uzwa tsh million 46
Tag @chimbo_Tanzania kwenye instagram na @chimbo kwenye facebook upate featured na bump up ads bure.